Kanisa La Kristo

Other Resources

Home | Hotuba/Sermons | Vitabu/Books | Biblia | Makala/Articles | Vipeperushi/Tracts | Other Resources | Links | Masomo Ya Biblia Kwa Masafa/Correspondence Courses | Makusanyiko | Contact Us

Tuma jina la mkusanyiko, kijiji, mhuburi, idadi ya watu, anwani na e-mail au simu kwa kanisalakristo@yahoo.com  Halafu tutaongeza kwenye site hii.  Asante Sana

Tanzania


Kanisa la Kristo - Arusha Mjini
SLP 1076 Arusha, Tanzania, East Africa
Barua Pepe: Kanisalakristoarusha@gmail.com
Mhubiri - Godfrey Mngoma (+255) 755970107
Mhubiri - Christopher Mwakabanje (+255) 786767222
Katibu - Isaac Kusupa (+255) 767475945
Idadi ya Washiriki - 56-80 Jumapili na 20-30 Darasa Jumatano
Huduma ya uinjilisti inafanyika kila siku!

Chimala -B- Kanisa la Kristo
SLP 10 Chimala, Mbeya
Mhubiri - Gideon Mwandetta
Idadi Ya Watu - 200

Dar es Salaam - Mbagala Kanisa la Kristo
(Kusini mwa Dar es Salaam - Km. 15 kutoka katikati ya jiji)
SLP 100086 Dar es Salaam
Simu +0732927799
E-mail - sachiphilipo@yahoo.com, wilbert,gugamwa@nmbtz.com
Idadi Ya Wakristo - 250

Ratiba ya Ibada - Jumapili 2:30 asubuhi -6:00 mchana na saa 11:00 jioni.
Saa 2:30-3:00 - Darasa la Uimbaji
3:00-4:00 - Darasa la Watu Wazima, Darasa la Vijana, Darasa la Watoto, Darasa la Wachanga na Darasa la Wageni.  Pia, Darasa la Uongozi linafanyikoa mara mmoja kwa mwezi.

Chuo Cha Biblia
Pia Kanisa la Kristo - Mbagala lina chuo cha Biblia.  Kinafundisha kwa miaka miwili kwa kiwago cha cheti!

Dodoma

Dodoma Mjini - Kanisa la Kristo
Mhubiri - John Namga
Simu - (+255)764935975
E-Mail - kanisalakristododoma11@yahoo.com
Anwani - SLP 520 Dodoma

Chamwino, Ikulu - Kanisa la Kristo
Mhubiri Elias B Manyaji
Simu +255784769055
E-mail - titho50@yahoo.co.uk
 
Namanga - Kanisa la Kristo
Matthew Laizer
E-mail - laizerg@ymail.com
Anwani - SLP 42, Namanga, TZ
Idadi ya Wakristo ni 35
Kusanyiko hili liko mpakani 
 
 
Tunduma - Kanisa la Kristo
Mhubiri - Fredy Mwashiwawa
SLP 263 Tunduma
Idadi ya wakristo - 33
Simu - +255753802712, +255655802712 
 
Kenya

Sirisia Kanisa la Kristo
SLP 105      -     40635
Sigomre, Kenya
Mhubiri - Charles Ogutu
Idadi ya Wakristo - 50
Simu - 254 722 354 316

DRC

Church of Christ - Kanisa la Kristo
PO Box 452
Cyangugu - Rwanda
Mzee - Shammy Bunani
Idadi ya Wakristo - 14
bkvdrcchurchofchrist@yahoo.fr
Simu - +243813148619, +243998506871
Kusanyiko hii iko mpakani wa Rwanda na DRC.  Wanasali DRC, lakini wanatumia posta kwenye nchi ya Rwanda. 


Sign our Guest Book!