Tuma jina la mkusanyiko, kijiji, mhuburi, idadi ya
watu, anwani na e-mail au simu kwa kanisalakristo@yahoo.com Halafu tutaongeza kwenye site hii. Asante Sana
Tanzania
Kanisa la Kristo - Arusha Mjini SLP 1076 Arusha, Tanzania, East Africa Barua Pepe:
Kanisalakristoarusha@gmail.com Mhubiri - Godfrey Mngoma (+255) 755970107 Mhubiri - Christopher Mwakabanje (+255)
786767222 Katibu - Isaac Kusupa (+255) 767475945 Idadi ya Washiriki - 56-80 Jumapili na 20-30 Darasa Jumatano Huduma ya uinjilisti inafanyika kila siku!
Chimala -B- Kanisa la Kristo SLP 10 Chimala,
Mbeya Mhubiri - Gideon Mwandetta Idadi Ya Watu - 200
Dar es Salaam - Mbagala Kanisa la Kristo (Kusini mwa Dar es Salaam - Km. 15 kutoka katikati ya jiji) SLP 100086 Dar es Salaam Simu +0732927799 E-mail - sachiphilipo@yahoo.com, wilbert,gugamwa@nmbtz.com Idadi Ya Wakristo - 250
Ratiba ya Ibada - Jumapili 2:30 asubuhi -6:00 mchana
na saa 11:00 jioni. Saa 2:30-3:00 - Darasa la Uimbaji 3:00-4:00 - Darasa la Watu Wazima, Darasa la Vijana,
Darasa la Watoto, Darasa la Wachanga na Darasa la Wageni. Pia, Darasa la Uongozi linafanyikoa mara mmoja kwa mwezi.
Chuo Cha Biblia Pia Kanisa la Kristo - Mbagala lina chuo cha Biblia. Kinafundisha kwa miaka miwili
kwa kiwago cha cheti!
Dodoma
Dodoma Mjini - Kanisa la Kristo Mhubiri - John Namga Simu - (+255)764935975 E-Mail - kanisalakristododoma11@yahoo.com Anwani - SLP 520 Dodoma
Chamwino,
Ikulu - Kanisa la Kristo Mhubiri Elias B Manyaji Simu +255784769055 E-mail - titho50@yahoo.co.uk Namanga - Kanisa la Kristo Matthew Laizer E-mail - laizerg@ymail.com Anwani - SLP 42, Namanga, TZ Idadi ya Wakristo ni 35 Kusanyiko hili liko mpakani Tunduma - Kanisa la Kristo Mhubiri - Fredy Mwashiwawa SLP 263 Tunduma Idadi ya wakristo - 33 Simu - +255753802712, +255655802712 Kenya
Sirisia Kanisa la Kristo SLP 105 -
40635 Sigomre, Kenya Mhubiri - Charles Ogutu Idadi ya Wakristo - 50 Simu - 254 722 354 316
DRC
Church of Christ - Kanisa la Kristo PO Box 452 Cyangugu
- Rwanda Mzee - Shammy Bunani Idadi ya Wakristo - 14 bkvdrcchurchofchrist@yahoo.fr Simu - +243813148619,
+243998506871 Kusanyiko hii iko mpakani wa Rwanda na DRC. Wanasali DRC, lakini wanatumia posta kwenye
nchi ya Rwanda.
|