Mpango wa Wokovu

Kusikia -
Rum. 10:17


Kuamini
Yn. 8:24; Mdo. 8:37


Kutubu
Mdo. 2:38; 3:19


Kukiri
Mat. 10:32; Mdo. 8:37


Kubatizwa
Rum. 6:3-4; Mk. 16:15-16
 

Kanisa La Kristo

Home | Hotuba/Sermons | Vitabu/Books | Biblia | Makala/Articles | Vipeperushi/Tracts | Other Resources | Links | Masomo Ya Biblia Kwa Masafa/Correspondence Courses | Makusanyiko | Contact Us

Karibu!


 
January 17, 2017 - Tumeongeza Makala Mpya: 1) Biblia Isemavyo Kuhusiana Na Ubatizo 2) Kushinda Hali Ya Kukata Tamaa 3) Umejiandaa Hukumu 4) Yatasemwa Maneno Gani Utakapokufa
 
April 15, 2016 - Tumeongeza Makala Mpya: 1) Asomaye Na Afahamu 2) Asomaye Na Afahamu - Yesu Ni Mungu, 3) Kuwabatiza Watu Kwa Jina Moja Ni Fundisho La Mungu Au La Wanadamu? 4) Biblia Yasemaje 5) Biblia Inasemaje - Yesu Aliyachukuliaje Maandiko - Sehemu ya kwanza hadi sehemu ya nane  
 
November 6, 2015 - Tumeongeza Makala Mpya: 1) Unyanyasaji Wa Watoto 2) Je, Vita Ni Matokeo Ya Dini? 3) Uvaaji
 
August 28, 2015 - Tumeongeza Makala Mpya: 1) Kukata Tamaa 2) Upendo Wa Milele Wa Mungu 3) Unawezaje Kujielezea 
 

July 31, 2015 – Tumeongeza Makala mpya: 1) Adhabu Ya Viboko 2) Dhambi Kuitupilia Mbali 3) Kuamini Maana Yake Nini 4) Kuna Mfano 5) Kwa Nini Wakristo Walioanguka Hukataa Kumrudia Bwana 6) Kwa Nini Watu Huanguka 7) Madarasa Ya Biblia 8) Msijisumbue Kwa Neno Lolote 9) Nafasi Ya Pili 10) Ushindi Katika Kristo 11) Wazee Wa Kanisa Na Madaraka Yao

  

May 11, 2015 - Tumeongeza Makala mpya: 1) Mchungaji Wa Iran. 2) Kwa Nini Unaamini. 3) Mwapotea Kwa Kuwa Hayajui Maandiko. 4) Wamejipanga Dhidi Ya Mungu. 5) Mtakuwa Watakatifu Kwa Kuwa Mimi Ni Mtakatifu, 1 Petro 1:16. 

Nataka kutoa shukurani kwa ndugu Godfrey Mngoma, kutoka Arusha, kwa kutuma hutuba mbili, kitabu kimoja na wimbo moja.

                Hotuba inaitwa:

  1. Naweza Kufanya Nini Ili Kulisaidia Kanisa Zaidi, na Sean Hochdorf

  2. Kujifunza Moyo Wa Yesu, na Godfrey Mngoma

Wimbo unaitwa: (Chini ya kichwa - Other Resources)

  1. Bwana Uni inue, na Godfrey Mngoma

Kitabu Kinaitwa:

  1. Kanisa la Biblia, na Godfrey Mngoma

  
 
 
 

 

Kwa Masomo Ya Biblia Kwa Njia Ya Posta Pasipo Malipo:
Tuma Jina na Anwani - kanisalakristo@yahoo.com

Tangazo: Kwa Wahubiri Wote Wa Kanisa la Kristo.  Kama, unataka kugawanya masomo yako kwenye site - tovuti hii, ili tusaidiane katika Ukristo, basi, naomba utume masomo yako kupitia e-mail: kanisalakristo@yahoo.com   Asanteni!

Kama Unahitaji Msada Wa Kiroho:

Full name:
Email address:
Comments:
 

Sign our Guest Book!